Friday, March 22, 2013

MWANZA NAKO HAYA YAPO


Jamaa nusura amchape vibao mmoja wa waliofunga gari lake kwa madai kwamba limeegeshwa sehemu ya watembea kwa miguu, nje ya Hoteli ya Mwanza; jijini Mwanza.
Baada ya wanahabari kuingilia kati , ikabainika ilikuwa ubabaishaji kwani baada ya waliofunga kuhojiwa kwanini wamefunga gari moja wakati yaliyoegeshwa ni mengi, hakukuwa na majibu ya msingi; wakalifungua baba wa watu akasepa zake.



 

No comments:

Post a Comment