Monday, September 30, 2013
HUMU NDIMO MSAFARA WA RAIS JK ULIMOLALA, MULEBA, MKOANI KAGERA
Miongoni mwa mambo yaliyozua mjada mwaka huu
nchini, ni ziara ya Rais Jakaya Kikwete mkoani Kagera.
Pamoja na mengine, tukio la msafara wake
kulala katika nyumba iliyoelezwa kuwa inamilikiwa na waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka, badala ya kulala Ikulu ya mji
wa Muleba; lilijadiliwa .
Sasa nawaletea picha za jengo alimolala Rais na msafara wake, lililopo Muleba. Baadaye nitawaletea picha ya jengo la Ikulu ya Mulega, walimotakiwa kulala.
Subscribe to:
Posts (Atom)