Friday, March 22, 2013

MWANZA NAKO HAYA YAPO


Jamaa nusura amchape vibao mmoja wa waliofunga gari lake kwa madai kwamba limeegeshwa sehemu ya watembea kwa miguu, nje ya Hoteli ya Mwanza; jijini Mwanza.
Baada ya wanahabari kuingilia kati , ikabainika ilikuwa ubabaishaji kwani baada ya waliofunga kuhojiwa kwanini wamefunga gari moja wakati yaliyoegeshwa ni mengi, hakukuwa na majibu ya msingi; wakalifungua baba wa watu akasepa zake.



 

GREYSON

Greyson akiseleleka ndani ya Malaika Hotel

MTOTO


Heaven akicheza mchezo wa kuseleleka ndani ya Malaika Hotel
Nyumbani kwa Witney; kutoka kulia Pendo Paul Ndovie, Godfrida na Editha akiwa amembepa Heaven mtoto wa Pendo
hapa nilikuwa ndani ya Malaika Beach Resort

MWANZA HOTEL


Hapa ni chumbani, Mwanza Hotel

Wednesday, March 20, 2013

NDIYE

Huyu hapa, ndani ya Malaika Resort

WITNEY

  Unamkumbuka witney?

GREYSON NA HEAVEN


  Greyson na Heaven bwana! Njia ya walemavu ndani ya Malaika resort  wao wakageuza mahala pa kuchezea.

Sasa hii alama ya vidole vyao sijui ndo mambo Fulani?!
Greyson, Heaven (mtoto wa Pendo Paul Ndovie aliye katikati) na Godfrida  afisa habari wa TAMWA wakiwa ndani ya hotel ya Malaika jijini Mwanza.
                                                                                   Namimi nilikuwepo Malaika

Monday, March 18, 2013

                                Umeona eeh!
            Hapa siyo kwenye pango, ni ndani ya hoteli
                    Witney ndani ya Malaika Hotel
                        Pendo ndani ya Malaika hotel
                           Malaika Beach Resort – jijini Mwanza
Pendo Paul Ndovie akiwa na best wake Witney; kwenye hotel ya Malaika jijini Mwanza
Balozi wa utepe mweupe wa uzazi salama kitaifa na kimataifa, Stara Thomas (aliyeshika simu) akiwa jukwaani kwenye uwanja wa Nyamagana siku ya maadhimisho ya uzazi salama, Ijumaa iliyopita yaliyofanyika jijini Mwanza.
Naibu waziri wa afya na ustawi wa jamii Dk. Rashid Seif (aliyevaa miwani) aliyekuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya uzazi salama nchini, Ijumaa wiki iliyopita akiwa jukwaani kwenye uwanja wa Nyamagana, jijini Mwanza.